Darasa la Kiswahili la mwaka wa tatu (Fall 2007)

Kiswahili S301 - muhtasari wa masomo

Siku na wakati: Jumatatu na Jumatano, Saa tano na robo asubuhi mpaka saa sita na nusu mchana (11:15 to 12:30) GB 333

Mwalimu: Alwiya S. Omar
Ofisi: 326 Memorial Hall       Simu: 855 3323       Barua pepe: aomar@indiana.edu
Saa za ofisi: Jumatatu na Jumatano saa saba mpaka saa nane (1:00 to 2:00) na kwa miadi.

Lengo la darasa: Kuimarisha kusoma, kuandika, kusikiliza na kuzungumza Kiswahili. Kukuza maarifa ya utamaduni, na kuendelza misamiati na matumizi ya sarufi.

Kazi za nyumbani
- Kusoma magazeti na kufanya muhtasari wa makala
- Kusoma hadithi na kufanya muhtasari

- Kuandika insha juu ya mada mbali mbali na kuweka kwenye WIKI (ONCOURSE)
- Kuimarisha ujuzi wa methali na misemo
- Kuimarisha msamiati
- Kuandika habari za kila siku

- Kuzungumza na kuandika juu ya habari za dunia

Mitihani, insha ya mwisho, na Mradi wa kikundi:
- Mitihani midogo ya msamiati
- Mtihani wa mwisho wa nyumbani
- Mtihani wa kuzungumza (kati na mwisho wa muhula)

- Insha ya mwisho (kuandika na kuzungumza darasani)

- Kutayarisha mradi wa kikundi pamoja na wanafunzi wengine na kufanya onyesho mbele ya wanafunzi wengine wa Kiswahili.

Mazungumzo:
Kuhudhuria mazungumzo pamoja na wanafunzi wa mwaka wa nne (siku ya kukutana itatangazwa baadaye).

 
Vitabu na zana nyingine za kujifunza

-         Tuwasiliane kwa Kiswahili: Kitabu cha mwaka wa tatu. Alwiya S. Omar na Leonce Rushubirwa (bado hakijajapishwa)

-         Kiswahili Kwa Komputa (KIKO) http://www.africa.uga.edu/Kiswahili/doe/ (somo la 13 mpaka somo la 18).

-         Kitabu cha hadithi: Hadithi za sababu kilichoandikwa na Milton Rwabushaija; Vitabu vingine vya hadithi

-         Makala ya magazeti kutoka Afrika ya Mashariki na sehemu nyingine kama sehemu za katuni, barua, nk

-         Habari za dunia za mtandao kutoka: http://www.bbc.co.uk/swahili/; http://www.dwelle.de/kiswahili/Welcome.html; http://wwww.voanews.com/swahili na televisheni ya SCOLA.

-         Mazoezi ya kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/

-         Lugha na utamaduni http://www.indiana.edu/~swahili/

 

Kazi za nyumbani                        25%

Insha ya mwisho                         15

Mradi wa kikundi                         15

Mtihani wa kati (kuzungumza)       10

Mtihani wa mwisho (kuzungumza)  15

Mtihani wa mwisho wa kuandika    20

 

 

Ratiba ya wiki

Kila siku tutaanza darasa kwa kuzungumza kuhusu habari za dunia. Kila mwanafunzi attandika sentensi mbili au tatu kuhusu habari hizi na atawasomea wanafunzi wengine ambao watauliza maswali au watatoa maoni yao kuhusu habari hizi. Zoezi hili litachukua kama dakika 10 hivi.

 

Wiki ya kwanza:

Jumatatu (Agosti 27):

-         Kuzungumza kuhusu likizo ya kiangazi.

Jumatano (Agosti 29)

-         Kujuanawanafunzi wazungumze kuhusu madarasa yao, utafiti wao, nk

 

Wiki ya pili:

Jumatatu (Septemba 3):

-         Makala ya magazeti (kiongoziMwalimu Alwiya Omar)

Jumatano (Septemba 5)

-         Hadithi:  Kwanini kinyonga hugeuza rangi ya ngozi yake (kiongoziChad)

 

Wiki ya tatu:

Jumatatu (Septemba 10):

-         Makala ya magazeti (kiongozi - Angela)

-         Kuzungumza juu ya mada za insha ya mwisho

Jumatano (Septemba 12)

-         Hadithi: Kwanini kondoo hutembea akitazama chini (kiongozi - Mary)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/ Ajali ya kuanguka mnazi

Kuanza kuandika kwenye WIKI: Mada ya kwanza  Safari zetu

 

Wiki ya nne:

Jumatatu (Septemba 17):

-         Makala ya magazeti (kiongozi - Karley)

-         Kutoa muhtasari wa mada ya insha ya mwisho

Jumatano (Septemba 19)

-         Hadithi: Kwanini mwewe hula vifaranga vya kuku (kiongozi - Meghan)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/ Ajali ya kuanguka mnazi

 

Wiki ya tano:

Jumatatu (Septemba 24):

-         Makala ya magazeti (kiongozi - Meghan)

Jumatano (Septemba 26)

-         Hadithi: Kwanni kiboko anaishi majini (kingozi - Karley)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/ Ajali ya ndege Nigeria

 

Wiki ya sita:

Jumatatu (Oktoba 1):

-         Makala ya magazeti (kiongozi - Fatma)

Jumatano (Oktoba 3)

-         Hadithi: Kwanini jogoo huishi nyumbani (kiongozi - Amina )

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/Ajali ya ndege Nigeria

 

Wiki ya saba:

Jumatatu (Oktoba 8):

-         Makala ya magazeti (kiongozi - Mary)

Jumatano (Oktoba 10)

-         Hadithi: Kwanini twiga ana shingo ndefu (kiongozi – Fatma)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/Bush New Orleans

 

Wiki ya nane:

Jumatatu (Oktoba 15):

-         Makala ya magazeti (kiongozi - Amina)

Jumatano (Oktoba 17)

-         Mtihani wa kuzungumza

 

Wiki ya tisa:

Jumatatu (Oktoba 22):

-         Makala ya magazeti (kiongozi - Chad)

Jumatano (Oktoba 24)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/ Ghasia za Ireland

-         Kusoma na kuzungumza: Yanayoandikwa katika magazeti ya Afrika ya Mashariki (Tuwasiliane kwa Kiswahili somo la 13)

 

Wiki ya kumi:

Jumatatu (Oktoba 29):

-         Magazeti ya Afrika ya Mashariki (viongozi – Angela na Meghan)

Jumatano (Oktoba 31)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/ Haki za binadamu

-         Kusoma na kuzungumza: Kujifurahisha na katuni magazetini (Tuwasiliane kwa Kiswahili somo la 13)

 

Ijumaa Novemba 2: Sherehe ya lugha na utamaduni; Kuonyesha mradi wa kikundi

 

Wiki ya kumi na moja:

Jumatatu (Novemba 5):

-         Magazeti ya Afrika ya Mashariki (viongoziKarley na Fatma)

Jumatano (Novemba 7)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/ India na Pakistan

-         Kusoma na kuzungumza: Kujifiurahisha na katuni magazetini (Tuwasiliane kwa Kiswahili somo la 13)

 

Wiki ya kumi na mbili:

Jumatatu (Novemba 12):

-         Magazeti ya Afrika ya Mashariki (viongozi – Mary na Amina)

Jumatano (Novemba 14)

-         Zoezi la kusikiliza http://www.indiana.edu/~swahili1/ Jeshi la Burundi

-         Kusoma na kuzungumza: Mashairi kwenye magazeti (Tuwasiliane kwa Kiswahili somo la 13)

 

Wiki ya kumi na tatu:

Jumatatu (Novemba 19):

-         Magazeti ya Afrika ya Mashariki (kiongozi – Chad) (Mawasiliano kwa barua pepe)

Jumatano (Novemba 21)

-         Hakuna darasa

 

Wiki ya kumi na nne:

Jumatatu (Novemba 26):

-         Kuwasilisha insha ya mwisho; Kila mwanafunzi awe tayari kumwuliza mwasilishaji maswali mawili.

Jumatano (Novemba 28)

-         Mtihani wa kuzungumza wa mwisho

 

Wiki ya kumi na tano:

Jumatatu (Desemba 12):

-         Mtihani wa mwisho wa kuandika